Norbert Wendelin Mtega

Norbert Wendelin Mtega (amezaliwa 17 Agosti 1945) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Papa Yohane Paulo II mwaka wa 1986 kama askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa.

Tangu mwaka wa 1992, alikuwa askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Songea hadi tarehe 15 Mei 2013, alipojiuzulu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.