Nukta endelezi (lugha ya programu)

Katika utarakilishi na lugha ya programu, nukta endelezi (kwa Kiingereza: ellipsis in computer programming) inatumika kumaanisha masafa. Alama ya nukta endelezi ni (... au ...)

Utumizi wa nukta endelezi kwenye Python :

>>> import numpy as np
>>> t = np.random.rand(2, 3, 4, 5)
>>> t[..., 0].shape # select 1st element from last dimension, copy rest
(2, 3, 4)
>>> t[0, ...].shape # select 1st element from first dimension, copy rest
(3, 4, 5)

Marejeo

hariri
  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.