Membe
(Elekezwa kutoka Numenius)
Kwa matumizi mengine za jina hili angalia Membe (maana)
Membe | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Membe ni ndege wa jenasi Numenius katika familia ya Scolopacidae. Bartramia longicauda ana mnasaba sana na membe. Ndege hawa ni wakubwa kabisa katika familia hii. Wana miguu mirefu na mdomo mrefu unaopingwa chini (isipokuwa Bartramia). Wana rangi kahawia na madoa na michirizi nyeupe mwaka mzima. Hutafuta chakula kwa matope wakiingiza mdomo mrefu wao, na hula nyungunyungu, daa, wadudu na gegereka. Hutaga mayai 3-6 ardhini kwa manyasi.
Spishi za Afrika
hariri- Numenius arquata Membe Sululu au Kipila (Eurasian Curlew)
- Numenius phaeopus Membe Sautisaba au Membe kioga (Whimbrel)
- Numenius tenuirostris Membe Domo-jembamba (Slender-billed Curlew) ni karibu kuisha sasa
Spishi za mabara mengine
hariri- Bartramia longicauda (Upland Sandpiper)
- Numenius americanus (Long-billed Curlew)
- Numenius borealis (Eskimo Curlew) labda imekwisha sasa (mwanzo wa miaka 2000)
- Numenius madagascariensis (Far Eastern Curlew)
- Numenius minutus (Little Curlew)
- Numenius tahitiensis (Bristle-thighed Curlew)
Picha
hariri-
Membe sululu
-
Membe sautisaba
-
Upland sandpiper
-
Long-billed curlew
-
Far eastern curlew
-
Little curlew
-
Bristle-thighed curlew