Nyamira ni mji wa Kenya na ndio makao makuu ya kaunti ya Nyamira.

Nyamira
Nchi Kenya
Kaunti Nyamira
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 84,239

Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 84,239[1].

Tanbihi hariri

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.