Nyamnyusi
Nyamnyusi ni kata ya Wilaya ya Kasulu Vijijini katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania, yenye msimbo wa posta 47311.
Ndipo ilipo hospitali ya halmashauri ya wilaya, sambamba na ofisi za halmashauri ya wilaya ya Kasulu.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 16,411 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16,516 waishio humo.[2]
Marejeo
haririKata za Wilaya ya Kasulu Vijijini - Mkoa wa Kigoma - Tanzania | ||
---|---|---|
Asante Nyerere | Bugaga | Buhoro | Heru Ushingo | Kagera Nkanda | Kalela | Kigembe | Kitagata | Kitanga | Kurugongo | Kwaga | Makere | Muzye | Nyachenda | Nyakitonto | Nyamidaho | Nyamnyusi | Rungwe Mpya | Rusesa | Shunguliba | Titye |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nyamnyusi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |