Nyenje vigamba
Nyenje vigamba | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Arachnocephalus vestitus
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||
Nusufamilia 2:
|
Nyenje vigamba ni wadudu wa familia Mogoplistidae katika nusuoda Grylloidea ya oda Orthoptera wanaofanana na nyenje-ardhi bila mabawa au wenye mabawa madogo sana. Mwili umefunikwa kwa vigamba vidogo na vyangavu ambavyo vinaweza kufutwa kwa rahisi. Nyenje hao huwa wadogo kuliko nyenje-ardhi. Wanatokea kanda ya tropiki na za wastani, lakini wako kawaida zaidi katika tropiki.
Spishi za Afrika ya Mashariki
hariri- Arachnocephalus kevani
- Arachnocephalus mediocris
- Arachnocephalus meruensis
- Arachnocephalus minutus
- Arachnocephalus rufoniger
- Cycloptiloides meruensis
- Derectaotus nigrovittatus
- Ectatoderus bimaculatus
- Ectatoderus collatatus
- Ectatoderus kilimandjaricus
- Ectatoderus ochraceus
- Hoplosphyrum rufum
Picha
hariri-
Mogoplistes brunneus
Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nyenje vigamba kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |