Ol Doinyo Eburru
Ol Doinyo Eburru ni safu ya volkeno hai yenye kimo cha mita 2,856 juu ya UB.
Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Nakuru.
Tazama pia
haririMarejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ol Doinyo Eburru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |