Old Trafford

Old Trafford ni uwanja wa mpira wa miguu wa nyumbani wa timu ya Manchester United.

Old Trafford

Ukiwa na uwezo wa kuchukua watu 74,994, Old Trafford ni uwanja mkubwa zaidi wa klabu nchini Uingereza, na wa kumi na moja kwa ukubwa zaidi katika bara la Ulaya.

Uko umbali wa kilomita 3 kutoka Old Trafford Cricket Ground na karibu na tram stop.

Old Trafford pamekuwa nyumbani kwa Manchester United tangu mwaka 1910.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Old Trafford kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.