Olimpia wa Konstantinopoli
Olimpia wa Konstantinopoli (pia: Olimpia Kijana[1] ; Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 361 hivi - Nikomedia, leo nchini Uturuki, 25 Julai 408) alikuwa mwanamke wa ukoo maarufu ambaye, baada ya kubaki mjane bado kijana, aliishi kitawa na kusaidia maskini.
Hatimaye alifukuzwa na serikali na kufia uhamishoni kwa sababu ya kumuunga mkono askofu Yohane Krisostomo[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Smith, A Dictionary of Christian Biography, Literature, Sects and Doctrines N to S Part Seven, p.73
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/81900
- ↑ Martyrologium Romanum
Vyanzo
hariri- Catholic Online - St. Olympias
- New Advent Catholic Encyclopedia - St. Olympias
- Patron Saint Index - Saint Olympias
- De Imperatoribus Romanis - An Online Encyclopedia of Roman Emperors: Constans I (337-350 A.D.) Ilihifadhiwa 22 Agosti 2006 kwenye Wayback Machine.
- A.H.M. Jones, J.R. Martindale & J. Morris, The Prosopography of the Later Roman Empire: Volume 1, AD 260-395, Cambridge University Press, 1971
- P. Moret & B. Cabouret, Sertorius, Libanios, iconographie: a propos de Sertorius, journée d'étude, Toulouse, 7 avril 2000 [suivi de] autour de Libanios, culture et société dans l'antiquité tardive : actes de la table ronde, Avignon, 27 avril 2000, Presses Univ. du Mirail, 2003
- E.A. Wallis Budge, Paradise of the Holy Fathers Part 1, Kessinger Publishing, 2003
- W. Smith & H. Wace, A Dictionary of Christian Biography, Literature, Sects and Doctrines N to S Part Seven, Kessinger Publishing, 2004
- Selected Letters of Libanius: From the Age of Constantius and Julian, Liverpool University Press, 2004
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |