Mlima Olimpos
(Elekezwa kutoka Olimpos)
Mlima Olimpos (kwa Kigiriki: Όλυμπος, Ólympos) ni safu ndogo ya milima yenye vilele 52. Kilele cha juu ni Mytikas kinachofikia mita 2,917.727[1] juu ya UB, kikiwa kirefu kuliko milima yote ya Ugiriki.
Katika masimulizi ya mitholojia ya Ugiriki ya Kale mlima huu ulikuwa makao ya miungu yao. Miungu iliyokuwa ikidhaniwa kuishi katika mlima Olimpos walikuwa 10 kati ya 12, mmoja kati ya wawili aliishi chini ya dunia (kuzimu) alikuwa akiitwa Hade na mwingine aliishi baharini akiitwa Poseidon.
Tanbihi
hariri- ↑ Ampatzidis, Dimitrios; Moschopoulos, Georgios; Mouratidis, Antonios; Styllas, Michael; Tsimerikas, Alexandros; Deligiannis, Vasileios-Klearchos; Voutsis, Nikolaos; Perivolioti, Triantafyllia-Maria; Vergos, Georgios S. (2023-04). "Revisiting the determination of Mount Olympus Height (Greece)". Journal of Mountain Science (kwa Kiingereza). 20 (4): 1026–1034. doi:10.1007/s11629-022-7866-8. ISSN 1672-6316.
{{cite journal}}
: Check date values in:|date=
(help)
Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Olimpos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |