Omo-Love Branch (alizaliwa 10 Januari 1974) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye alicheza kama beki wa timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria. Alikuwa kwenye timu katika uzinduzi wa Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 1991, na Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA mwaka 1995.[1]

Omo-Live Branch
Amezaliwa 10 januari 1974
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mwanasoka

Marejeo hariri

  1. "FIFA Women's World Cup Sweden 1995 - Teams". FIFA Women's World Cup Sweden 1995. FIFA. 1995. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 July 2015. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Omo-Love Branch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.