Orodha ya Maspika wa Bunge la Tanzania

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa anaongoza jumla ya wabunge 393 katika Bunge la Tanzania.[1]

Ifuatayo ni orodha ya Maspika wa Bunge hilo:

Jina Kuingia madarakani Kutoka madarakani Taarifa
Adam Sapi Mkwawa 26 Aprili 1964 19 Novemba 1973 Mkwawa alichaguliwa kuwa spika wa Bunge la Tanganyika tarehe 27 Novemba 1962[2]
Erasto Andrew Mbwana Mang'enya 20 Novemba 1973 5 Novemba 1975 [2]
Adam Sapi Mkwawa 6 Novemba 1975 25 Aprili 1994 [2]
Pius Msekwa 28 Aprili 1994 28 Novemba 2005 [2]
Samuel John Sitta 28 Desemba 2005 2010 [2]
Anna Makinda 10 Novemba 2010 16 Novemba 2015 [2]
Job Ndugai 17 Novemba 2015 amejiuzulu January 1 2022 [2]
Tulia Ackson 1 Februari 2022 Hadi Sasa

Marejeo

hariri
  1. "Constitution of the United Republic of Tanzania" (PDF). Iliwekwa mnamo 23 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 2.4 2.5 2.6 "Parliament of Tanzania". www.parliament.go.tz.