Orodha ya Makaizari wa Ujerumani
(Elekezwa kutoka Orodha ya Wafalme Wakuu wa Ujerumani)
Orodha hii inataja wafalme wakuu (au Kaizari) wote wa Dola Takatifu la Kiroma la Taifa la Kijerumani kuanzia Karoli Mkuu.
Nasaba ya KaroliEdit
- Karoli Mkuu, 800-814
- Louis I, 814-840
- Lothar I, 843-855
- Louis II, 855-875
- Karoli II, 875-877
- Karoli III, 881-887
Mlango wa GuideschiEdit
- Guy III wa Spoleto, 891-894
- Lambert II wa Spoleto, 894-898
Nasaba ya KaroliEdit
- Arnulf wa Carinthia, 896-899
- Louis III, 901-905
- Berengar wa Friuli, 915-924
Nasaba ya OttoEdit
- Otto I, 962-973
- Otto II, 973-983
- Otto III, 996-1002
- Henriki II, 1014-1024 (huhesabiwa wa pili ingawa Henriki I wa Ujerumani hakuwa mfalme mkuu)
Nasaba ya Wasalia (Wafranki)Edit
- Konrad II, 1027-1039 (huhesabiwa wa pili ingawa Konrad I wa Ujerumani hakuwa mfalme mkuu)
- Henriki III, 1046-1056
- Henriki IV, 1084-1105
- Henriki V, 1111-1125
Nasaba ya SupplinburgEdit
- Lothar III, 1133-1137 (huhesabiwa wa tatu Lothar II alikuwa tu mfalme wa Lotharingia 855-869, na sio mfalme mkuu)
Nasaba ya StaufenEdit
- Frederick I Barbarossa, 1155-1190
- Henriki VI, 1191-1197
Mlango wa WelfEdit
- Otto IV wa Brunswick, 1209-1215 (amefariki 1218)
Nasaba ya StaufenEdit
- Frederick II, 1220-1250
Mlango wa LuxembourgEdit
- Henry VII, 1312-1313
Mlango wa WittelsbachEdit
- Louis IV wa Bavaria, 1328-1347
Mlango wa LuxembourgEdit
Nasaba ya HabsburgEdit
- Frederick III, 1452-1493
- Maximilian I, 1508-1519 (Kaizari-Mteule)
- Karoli V, 1530-1556 (hakujiuzulu hadi 1558) (Kaizari-Mteule 1519-1530)
- Ferdinand I, 1556-1564 (Kaizari-Mteule)
- Maximilian II, 1564-1576 (Kaizari-Mteule)
- Rudolf II, 1576-1612 (Kaizari-Mteule; huhesabiwa wa pili ingawa Rudolf I wa Ujerumani alikuwa mfalme tu 1273-1291 na siyo mfalme mkuu)
- Matthias, 1612-1619 (Kaizari-Mteule)
- Ferdinand II, 1619-1637 (Kaizari-Mteule)
- Ferdinand III, 1637-1657 (Kaizari-Mteule)
- Leopold I, 1658-1705 (Kaizari-Mteule)
- Joseph I, 1705-1711 (Kaizari-Mteule)
- Karoli VI, 1711-1740 (Kaizari-Mteule)
Mlango wa WittelsbachEdit
- Karoli VII Albert, 1742-1745 (Kaizari-Mteule)
Nasaba ya Habsburg-LorraineEdit
- Francis I, 1745-1765 (Kaizari-Mteule)
- Joseph II, 1765-1790 (Kaizari-Mteule)
- Leopold II, 1790-1792 (Kaizari-Mteule)
- Francis II, 1792-1806 (Kaizari-Mteule)