Orodha ya Hifadhi za Taifa nchini Kenya
(Elekezwa kutoka Orodha ya mbuga za kitaifa za Kenya)
Mfumo wa kitaifa wa mbuga za Kenya unaimarishwa na Shirika la Kenya la Wanyama pori (Kenya Wildlife Service).
Hifadhi za Taifa
hariri- Hifadhi ya Taifa ya Aberdare
- Hifadhi ya Taifa ya Amboseli
- Hifadhi ya Taifa ya Arabuko Sokoke
- Hifadhi ya Taifa ya Central Island
- Hifadhi ya Taifa ya Chyulu Hills
- Hifadhi ya Taifa ya Hell's Gate
- Hifadhi ya Taifa ya Kisite Mpunguti
- Hifadhi ya Taifa ya Malindi
- Hifadhi ya Taifa ya Malka Mari
- Hifadhi ya Taifa ya Masai Mara
- Hifadhi ya Taifa ya Meru
- Hifadhi ya Taifa ya Mlima Elgon
- Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kenya
- Hifadhi ya Taifa ya Mlima Longonot
- Hifadhi ya Taifa ya Mombasa
- Hifadhi ya Taifa ya Nairobi
- Hifadhi ya Taifa ya Ol Donyo Sabuk
- Hifadhi ya Taifa ya Ruma
- Hifadhi ya Taifa ya Saiwa Swamp
- Hifadhi ya Taifa ya Sibiloi
- Hifadhi ya Taifa ya Southern Island
- Hifadhi ya Taifa ya Tsavo Magharibi
- Hifadhi ya Taifa ya Tsavo Mashariki
- Hifadhi ya Taifa ya Watamu
- Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Nakuru
Hifadhi teule
hariri- Hifadhi ya Arawale
- Hifadhi ya Bisanadi
- Hifadhi ya Boni
- Hifadhi ya Dodori
- Hifadhi ya Msitu Kakamega
- Hifadhi ya Paa ya Kisumu
- Hifadhi ya Samburu
- Hifadhi ya Buffalo Springs
- Hifadhi ya Tembo ya Mwaluganje
- Hifadhi ya Rimoi
- Hifadhi ya Shimba Hills
- Hifadhi ya Masai Mara
- Hifadhi ya Taifa ya Mwea
- Hifadhi ya Primates ya Tana River
- Hifadhi ya Msitu Witu
- Hifadhi ya Ziwa Bogoria
Mbuga na Hifadhi za Majini
haririTazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Kenya Wildlife Service Ilihifadhiwa 14 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Kenya Tourism Board Official travel and tourism guide