Pangani Magharibi ni kata ya Wilaya ya Pangani katika Mkoa wa Tanga, Tanzania na sehemu ya mji wa Pangani yenye Postikodi namba 21301.

Mkoa wa Tanga.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 8,179 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,949 waishio humo. [2]

Pangani Magharibi huitwa pia Myongeni: ni sehemu ambako wafanyakazi wa mashamba makubwa wa katani walipanga nyumba zao nje ya mji wa kihistoria ya Pangani.

Marejeo hariri

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2003-12-26. Iliwekwa mnamo 2008-08-21.
  Kata za Wilaya ya Pangani - Mkoa wa Tanga - Tanzania  

Bushiri | Bweni | Kimang'a | Kipumbwi | Madanga | Masaika | Mikunguni | Mkalamo | Mkwaja | Mwera | Pangani Magharibi | Pangani Mashariki | Tungamaa | Ubangaa

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pangani Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.