Mkwaja

kata ya Tanzania

Mkwaja ni kata ya Wilaya ya Pangani katika Mkoa wa Tanga, Tanzania, yenye Postikodi namba 21312.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 6,663 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 4,217 waishio humo.

Historia

hariri

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kaskazini ya Tanzania kwenye Bahari ya Hindi.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Pangani - Mkoa wa Tanga - Tanzania  

Bushiri | Bweni | Kimang'a | Kipumbwi | Madanga | Masaika | Mikunguni | Mkalamo | Mkwaja | Mwera | Pangani Magharibi | Pangani Mashariki | Tungamaa | Ubangaa

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkwaja kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.