New Mexico
New Mexiko (Meksiko Mpya) ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kusini ya Marekani bara. Imepakana na Texas, Oklahoma, Colorado, Arizona na nchi ya Meksiko.
New Mexico | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Albuquerque | ||
Eneo | |||
- Jumla | 314,915 km² | ||
- Kavu | 314,309 km² | ||
- Maji | 606 km² | ||
Tovuti: http://www.newmexico.gov/ |
Mji mkuu wa jimbo ni Santa Fe. Mji mkubwa ni Albuquerque. Idadi ya wakazi wa jombo lote hufikia watu 1,819,046 wanaokalia eneo la 315,194 km² ambalo ni hasa milima na jangwa.
Viungo vya Nje
hariri- New Mexico Magazine
- New Mexico Tourism Department
- New Mexico Monuments
- New Mexico National Parks
- Gila National Forest Ilihifadhiwa 26 Julai 2007 kwenye Wayback Machine.
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu New Mexico kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |