Papasi
Papasi (Ornithodoros savignyi)
Papasi (Ornithodoros savignyi)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Faila: Arthropoda
Nusufaila: Chelicerata
Ngeli: Arachnida
Nusungeli: Acari
Oda: Ixodida
Familia: Argasidae
C.L.Koch, 1844
Ngazi za chini

Jenasi 6:

Papasi ni arithropodi wa familia Argasidae katika ngeli Arachnida (arakinida). Hujiama kwenye mwili wa mnyama na kufyonza damu kama chakula. Spishi nyingi ni wasumbufu juu ya wanyama wafugwao na wanaweza kusambaza magonjwa. Katika Afrika papasi wa jenasi Ornithodoros husambaza homa ya vipindi kwa binadamu.

Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papasi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.