Nyani

(Elekezwa kutoka Papio)
Nyani
Nyani wa kawaida
Nyani wa kawaida
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda: Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
Oda ya chini: Simiiformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu: Cercopithecoidea
Familia: Cercopithecidae (Wanyama walio na mnasaba na kima)
Nusufamilia: Cercopithecinae (Wanyama wanaofanana na kima)
Kabila: Papionini (Wanyama wanaofanana na nyani)
Ngazi za chini

Jenasi 3 za nyani:

Nyani ni wanyama wa jenasi Papio, Theropithecus na Mandrillus katika familia Cercopithecidae. Jina la “nyani” hutumika pia kumaanisha spishi kubwa zote za Catarrhini (kima wa Dunia ya Kale) pamoja na masokwe. Nyani wa kabila Papionini wanatokea Afrika lakini nyani koti anatokea Uarabuni pia.

Spishi

hariri

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.