Nyani
(Elekezwa kutoka Theropithecus)
Nyani | ||||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Nyani wa kawaida
| ||||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||||||
Jenasi 3 za nyani:
|
Nyani ni wanyama wa jenasi Papio, Theropithecus na Mandrillus katika familia Cercopithecidae. Jina la “nyani” hutumika pia kumaanisha spishi kubwa zote za Catarrhini (kima wa Dunia ya Kale) pamoja na masokwe. Nyani wa kabila Papionini wanatokea Afrika lakini nyani koti anatokea Uarabuni pia.
Spishi
hariri- Mandrillus leucophaeus, Nyani Dirili (Drill)
- Mandrillus sphinx, Nyani Mandirili (Mandrill)
- Papio anubis, Nyani wa Kawaida (Olive Baboon)
- Papio cynocephalus, Nyani Mashariki au Nyani Manjano (Yellow Baboon)
- Papio hamadryas, Nyani Koti (Hamadryas Baboon)
- Papio papio, Nyani Magharibi au Nyani Mwekundu (Guinea Baboon)
- Papio ursinus, Nyani Kusi (Chacma Baboon)
- Theropithecus gelada, Nyani Gelada (Gelada)
Picha
hariri-
Nyani dirili
-
Nyani mandirili
-
Nyani wa kawaida
-
Nyani mashariki
-
Nyani mdogo katika hifadhi ya Taifa ya Saadani - Tanzania
-
Nyani koti
-
Nyani magharibi
-
Nyani kusi
-
Nyani gelada
-
Kikundi kidogo cha Nyani katika Hifadhi ya Nyerere
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.