Patricia Blocksom

mwanasheria WA kanada

Patricia Blocksom ni mwanasheria katika nchi ya kanada na alibobea katika usuluhishi wa sheria za ndoa.

Elimu na Kazi hariri

Blocksom alijiandikisha katika chuo cha Lethbridge mwaka 1976 na baadae akapata shahada ya sheria katika chuo kikuu cha Calgary kitovu cha sheria katika mwaka 1982.[1] Pia alikua mshirika katika Dunphy Best Blocksom mnamo mwaka 1990.[2]

Marejeo hariri

  1. "Patricia L. Blocksom, Q. C. - DBB LLP". Dbblaw.com. 2014-06-20. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-05-18. Iliwekwa mnamo 2015-06-18.  Check date values in: |date= (help)
  2. "Patricia Blocksom, KC | Calgary Family & Divorce Lawyer". DBB Law (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-11-23. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patricia Blocksom kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.