Paul Lubeck
Paul Michael Lubeck (alizaliwa 1943) ni profesa wa sosholojia, mkurugenzi wa programu ya utaalamu wa habari ulimwenguni na kituo cha mafunzo ya kimataifa na masomo ya kikanda katika Chuo Kikuu cha California, Santa Cruz. Na vile vile mwandamizi katika kituo cha sera ya kimataifa.[1]
Lubeck anafundisha siasa ya sosholojia, siasa ya uchumi na masomo ya maendeleo. Alihudumu kwenye kikosi cha Amani cha Jamuhuri ya Niger na alifanya uchunguzi nchini Niger, Nigeria Ghana, Mexico na Malaysia, pamoja na mahusiano kati ya mchakato wa utandawazi na Uamsho wa kiislamu katika muktadha viwanda mjini. Anaandika juu ya utandawazi, nchi zinazokuwa kiviwanda, wafanyabiashara, wafanyakazi, harakati za jamii ya kiislamu na mikakati ya maendeleo ya kanda.[2]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paul Lubeck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |