Pavao Pervan

Mchezaji wa mpira wa miguu wa chama cha Austria

Pavao Pervan (alizaliwa 13 Novemba 1987)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Austria, ambaye anacheza kama golikipa katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Austria.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pavao Pervan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.