Pedopenda (kwa Kiingereza: pedophilia) ni pendo la kijinsia la mtu mzima kwa watoto wasiofikia bado ubalehe.

Linahesabika katika ya maradhi ya nafsi na utekelezaji wake unaadhibiwa na sheria za nchi zote.