Peninj ni eneo la kihistoria katika kata ya pinyinyi wilaya ya Ngorongoro katika mkoa wa Arusha, Tanzania. Hili ni eneo ambapo taya ya chini iligunduliwa mwaka 1964. [1][2]

taya ya chini lililogunduliwa katika eneo la Peninj

Marejeo

hariri
  1. "Peninj mandible fossil". Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-04.
  2. Journal of Eastern African Research and Development. East African Literature Bureau. 1974. uk. 129. The mandible was discovered by Kamoya Kimeu in 1964, during an expedition conducted by Richard Leakey and Glynn Isaac.
  Kata za Wilaya ya Ngorongoro - Mkoa wa Arusha - Tanzania  

Alailelai | Alaitolei | Arash | Digodigo | Enduleni | Engaresero | Enguserosambu | Eyasi | Kakesio | Kirangi | Maalon | Malambo | Misigiyo | Nainokanoka | Naiyobi | Ngoile | Ngorongoro | Olbalbal | Oldonyosambu | Oloipiri | Olorien/Magaiduru | Ololosokwan | Orgosorok | Pinyinyi | Piyaya | Sale | Samunge | Soitsambu