Petro Malasanch
Petro Malasanch, O. de M. (alifia dini Grenada, Hispania, 1428) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Hispania, ambaye alikwenda mara mbili Afrika kukomboa watumwa na akauawa na Waislamu kwa ajili ya imani yake pamoja na Yohane wa Grenada [1].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |