Petro wa Bearn, O. de M. (alifia dini Tunisi, 1364) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa, ambaye alikwenda Tunisia kukomboa watumwa akateswa na hatimaye kuchomwa moto kwa ajili ya imani yake.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Aprili.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.