Petro wa Mt. Maria

Petro wa Mt. Maria, O. de M. (alifia dini katika Bahari ya Kati, 1361) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Valladolid, Hispania, ambaye alikwenda Afrika Kaskazini pamoja na Simoni wa Lara kukomboa watumwa lakini wakati wa kurudi alikamatwa na Waislamu, akateswa na hatimaye kutoswa baharini kwa ajili ya imani yake.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Agosti.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.