Philip Harrison (cricketer)

William Philip Harrison (13 Novemba 18857 Septemba 1964) alikuwa kinda wa Uingereza daraja la kwanza aliyecheza katika klabu ya kriketi ya nchi ya Kent, Chuo Kikuu cha Cambridge na klabu ya kriketi ya nchi ya Middlesex katika miaka ya 1904 na 1911.

Maisha ya Nyuma

hariri

Alizaliwa Finchley ndani ya Middlesex mwaka 1885 akasomea shule ya Rugby[1]. alicheza kriketi kwenye kikosi cha kwanza hapo Rugby na kuweza kujitengenezea nafasi kikosi cha kwanza kwenye klabu ya kriketi ya Kent juni 1904 dhidi ya Nottinghamshire mwaka 1904 michuano bingwa ya nchi ndani ya Trent Bridge.[2]

Harrison alicheza mara saba kwenye klabu ya Kent mwaka 1904 hadi 1905 na mara nne kwa chuo kikuu cha Cambridge 1905 kabla ya kwenda Middlesex kwenye msimu wa 1906[3]. Alifanya kutembelea New Zealand mwaka 1906/1907 akiwa kinda wa timu ya MCC[4], akicheza michezo tisa kwenye michezo 11 ya mwanzo. Alicheza katika mechi zote dhidi ya upande wa New Zealand, ingawa hizi zilikuwa sio mechi za majaribio. Alishinda medal ya daraja la kwanza kwenye mchezo wa pili dhidi ya Otago, 105 ndani ya dakika za 90[5].

Marejeo

hariri
  1. "Philip Harrison (cricketer)", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2020-02-26, iliwekwa mnamo 2021-11-29
  2. "The Home of CricketArchive". cricketarchive.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-29.
  3. "Philip Harrison (cricketer)", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2020-02-26, iliwekwa mnamo 2021-11-29
  4. "Cricket Archive - Paywall". cricketarchive.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-29.
  5. "Philip Harrison (cricketer)", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2020-02-26, iliwekwa mnamo 2021-11-29