Piato (alifariki Seclin, leo nchini Ufaransa, 286 hivi) alikuwa padri mmisionari wa kwanza huko Tournai, leo nchini Ubelgiji.

Mt. Piato wa Tournai.

Mzaliwa wa Benevento, Italia, aliuawa kwa imani yake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Oktoba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.