Pidurutalagala

Pidurutalagala ni mlima wenye kimo cha m 2,534 juu ya usawa wa bahari.

SL Nuwara Eliya asv2020-01 img13 Mount Pedro.jpg

Uko nchini Sri Lanka na ndio mrefu kuliko yote ya kisiwa hicho.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pidurutalagala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.