Polieuto wa Kaisarea

Polieuto wa Kaisarea (pia: Polyeuctus, Polyeuctes, Polyeuktos; alifariki Kaisarea wa Kapadokia, katika Uturuki ya leo) alikuwa mfiadini wa Kikristo.[1]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Mei[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.