Pongami
aina ya miti katika familia ya Fabaceae
Pongami (Millettia pinnata) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Maua ya pongami
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Pongami, honge au mkwara wa Uhindi (Millettia pinnata, syn. Pongamia pinnata) una urefu wa takriban mita 15 –25, inapatikana kwenye familia ya Fabaceae. Ni mkubwa sehemu ya juu na maua madogo madogo mengi ya rangi nyeupe, waridi au urujuani. Asili yake ni Uhindi, lakini inaoteshwa kwa kiwango kikubwa Kusini – Mashariki mwa Asia.
Picha
hariri-
Pongami, Uhindi.
-
Pongami, Uhindi.
-
Pongami, Uhindi.
-
Pongami, Uhindi.
-
Pongami, Uhindi.
-
Pongami, Uhindi.
-
Pongami, Uhindi.
-
Pongami, Uhindi.
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pongami kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |