Pozzuoli

Munisipaliti iliyo Kampania, Italia

Pozzuoli ni mji wa mkoa wa Campania, Italia Kusini wenye wakazi 80,851 (2018).

Picha ya muonekano wa Mji wa Pozzuoli

Mwaka 61 bandari yake ilifikiwa na Mtume Paulo akielekea Roma.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pozzuoli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.