Pragmasi wa Autun (alifariki 625 hivi) alikuwa askofu wa mji huo, leo nchini Ufaransa, baada ya Flaviani wa Autun[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki[3] na Waorthodoksi[4] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Novemba[5][6].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • (Kiitalia) Jean Marilier, Prammazio, vescovo di Autun, santo, in «Bibliotheca Sanctorum», vol. X, coll. 1088-1089

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.