Presnel Kimpembe

Mchezaji mpira wa Ufaransa

Presnel Kimpembe (alizaliwa tarehe 13 Agosti mwaka 1995) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama mlinzi wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Ufaransa.

Presnal Kimpembe
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Presnel Kimpembe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.