Priscilla Mensah (alizaliwa 19 Aprili 1974) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Ghana ambaye alicheza kama golikipa wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanawake ya Ghana. Alikuwa sehemu ya timu kwenye Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake la 1999 [1]. Katika ngazi ya klabu alichezea Posta Ladies nchini Ghana.[2]

Priscilla Mensah
Nchi Ghana
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Marejeo hariri

  1. "FIFA Women's World Cup USA 1999 - Ghana". FIFA Women's World Cup United States 1999. FIFA. 1999. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo July 2, 2015. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  2. "FIFA Women's World Cup 1999 squads" (TXT). FIFA. 1999. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 December 2000. Iliwekwa mnamo 29 September 2019.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Priscilla Mensah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.