Privati wa Mende
Privati wa Mende (Clairmont, karne ya 3 - Mlima Mimat, 255/260) alikuwa askofu wa kwanza[1] wa mji huo, Galia, leo Ufaransa[2]) hadi alipouawa kwa kupigwa fimbo kwa ajili ya imani yake.
Alipatikana na wavamizi akiwa katika kikanisa akisali na kufunga akauawa kwa sababu alikataa kusaliti waumini wake kwa kutoa sadaka kwa miungu[3].
Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[4].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ (Kifaransa) Félix Buffière, Ce tant rude Gévaudan, Tome I, p.176
- ↑ (Kifaransa) Félix Remize, Saint Privat, évêque du Gévaudan, IIème siècle, Mende, 1910
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/67110
- ↑ (Kifaransa) Gregori wa Tours, Histoire des Francs (V)
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |