Rafael Vicente Correa Delgado (alizaliwa 6 Aprili 1963) ni mwanasiasa nchini Ekuador na tangu Januari 2007 hadi 2017 alikuwa rais wa nchi hiyo.

Rafael Vicente Correa

2007

Muda wa Utawala
Januari 15, 2007 (2007-01-15) – Mei 24, 2017 (2017-05-24)
mtangulizi Alfredo Palacio
aliyemfuata Lenín Moreno

tarehe ya kuzaliwa Aprili 6 1963 (1963-04-06) (umri 60)
Guayaquil
utaifa Ecuadorian
chama PAIS Alliance
ndoa Anne Malherbe Gosseline
dini Ukristo
signature Rafael Correa

Ni Mkristo wa Kanisa Katoliki, humanist na mchumi. Alipata elimu yake katika vyuo vikuu vya Ekuador, Ubelgiji na Marekani. Yeye anasema Kihispania, Kiingereza, Kiquechua na Kifaransa.

Familia hariri

Correa alimwoa Anne Malherbe. Wana mabinti wawili, Sofía Correa Malherbe na Anne Dominique Correa Malherbe, na mwana wa kiume Rafael Miguel Correa Malherbe.

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rafael Correa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.