Rangina Hamidi (kwa Kipashto: رنګینه حمیدي; kuzaliwa 1978) ni mwandishi, msomi, mwanaharakati wa kijamii na mwanasiasa wa Afghanistan aliyekulia Marekani.[1].

Anajulikana sana kama mwanasheria wa haki za wanawake wa Afghanistan na anajihusisha na miradi mbalimbali inayojikita na kuwainua wasichana na wanawake wa Afghanistan. Pia alihudumu kama waziri wa elimu wa Afghanistan mpaka pale kundi la Taliban lilipofanya mageuzi. Ndiye waziri wa elimu wa kwanza wa kike nchini Afghanistan[2]

Marejeo hariri

  1. Leading Change: Featuring Rangina Hamidi (en). Leading Change: Featuring Rangina Hamidi. Iliwekwa mnamo 2022-03-23.
  2. Education Cannot Wait Interviews Afghanistan’s Minister of Education Rangina Hamidi. Inter Press Service (2021-04-12). Iliwekwa mnamo 2022-03-23.
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rangina Hamidi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.