Rania Aouina (alizaliwa 5 Mei 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama kiungo wa Klabu ya Thonon Évian FC na timu ya taifa ya Wanawake ya Tunisia.[1][2]

Marejeo hariri

  1. "Rania Aouina". Footofeminin.fr (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 9 August 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Competitions - AWC 2014 Qualifiers (2014) - Match Details". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-23. Iliwekwa mnamo 2024-03-25. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rania Aouina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.