Raphael Samuel (alizaliwa 16 Januari 1957) ni Msingapuri na askofu wa zamani wa Anglikana nchini Bolivia.

Yeye ndiye askofu wa kwanza wa Asia katika ulimwengu unaozungumza Kihispania.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Position - South America - Bolivia".
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.