Ras Dejen
Ras Dejen (pia: Ras Dashen, huandikwa ራስ ደጀን katika lugha ya Kiamhara ikimaanisha mlinzi mkuu) ni mlima mrefu katika nchi ya Ethiopia na mlima wa kumi kwa urefu[1] barani Afrika ukiwa na urefu wa mita 4,533 (futi 14,930) juu ya usawa wa bahari[2].
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
- ↑ Africa Ultra-Prominences. peaklist.org. Iliwekwa mnamo 2020-02-29.
- ↑ Ras Dashen : Climbing, Hiking & Mountaineering : SummitPost. www.summitpost.org. Iliwekwa mnamo 2020-02-29.
MarejeoEdit
- Merriam-Webster's Geographical Dictionary, Third Edition. Springfield, Massachusetts: Merriam-Webster, Incorporat]]ed, 1997. ISBN 0-87779-546-0.