Rasi Kaskazini
Northern Cape
Noord-Kaap
Mntla-Koloni
(Nembo la Rasi Kaskazini)
Mahali pa Rasi Kaskazini
Mji Mkuu Kimberley
’‘‘Mji Mkubwa’’’ Kimberley
Waziri Mkuu Sylvia Lucas (ANC)
Eneo
Nafasi kati ya majimbo
- Jumla


ya 1
361,830 km²
Wakazi
Nafasi kati ya majimbo
 - Jumla (2001)
 - Msongamano wa watu

ya 9
822,726
2/km²
Lugha Kiafrikaans (70%)
Kitswana (20%)
Kixhosa (6.5%)
Wakazi kimbari Chotara(51.6%)
Waafrika Weusi(35.7%)
Wazungu (12.4%)
Wenye asili ya Asia(0.3%)
edit

Rasi Kaskazini ni moja kati ya majimbo 9 ya Afrika Kusini lenye takriban 30% ya eneo la taifa lote. Imepakana na Atlantiki, Botswana na Namibia. Jimbo liliundwa 1994 wakati wa kugawa jimbo la Rasi la awali. Mji mkuu ni Kimberley.

Miji mingine muhimu ni Upington, Carnarvon, Colesberg, De Aar, Kuruman na Springbok.

Hata kama Rasi Kaskazini ni jimbo lenye eneo kubwa katika Afrika Kusini ni vilevile jimbo lenye watu wachache. Wastani ni wakazi wawili kwa kilomita ya mraba tu.

Hali ya hewa ni kavu hivyo kilimo hailishi watu wengi. Mto Oranje unapita katika jimbo na kuwezesha wakulima wa mizabibu karibu na Upington kumwagilia mashamba yao. Sehemu kubwa ya eneo la jimbo ni Karoo.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rasi ya Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
WikiMedia Commons