Rebecca Kalu

mchezaji wa mpira wa miguu



Rebecca Kalu (alizaliwa 12 Juni 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae amecheza kama kiungo katika kombe la Dunia la FIFA chini ya umri wa miaka 20 mnamo mwaka 2010 na alikuwa katika kikosi cha timu ya Nigeria katika michuano ya kombe la FIFA la Wanawake mwaka 2011. Rebecca alicheza katika klabu ya Pitea IF mwaka 2009 huko Sweden.[1][2][3]

Rebecca Kalu
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Marejeo hariri

  1. "Rebecca KALU". FIFA. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 September 2015. Iliwekwa mnamo 2 February 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Official squad list 2011 FIFA Women's World Cup". FIFA. 17 June 2011. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 July 2011. Iliwekwa mnamo 17 June 2011.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "Nigeria ohne Uwak zur WM". womensoccer.de. 14 June 2011. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 July 2011. Iliwekwa mnamo 14 June 2011.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rebecca Kalu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.