Reni Folawiyo
Reni Folawiyo ni mwanasheria, mwanamitindo na mfanyabiashara wa Nigeria, mwanzilishi wa Alara, duka la kwanza la mavazi na mitindo ghali Afrika Magharibi[1][2] lililobuniwa na masanifu majengo mwenye asili ya Uingereza na Ghana, David Adjaye[3] Anamiliki NOK na bustani ya NOK kukuza ladha ya kiafrika.[4]
Maisha ya Awali na Elimu hariri
Folawiyo alizaliwa London akiwa ni mtoto wa hayati Chifu Lateef Adegbite, aliyekua mwanasheria mkuu wa Nigeria na Katibu mkuu wa Baraza kuu la Uislam Nigeria [5] na alikulia Abeokuta, jimbo la Ogun, Nigeria.[6]
Alisomea sheria ya biashara katika chuo kikuu cha Warwick, Uingereza na alirudi Nigeria kufanyia mazoezi katika shirika la sheria la baba yake.[7]
Maisha Binafsi hariri
Aliolewa na mfanyabiashara wa Kinigeria Tunde Folawiyo mwaka 1989 na wamebahatika kupata watoto wawili, Faridah and Fuaad.[8]
Marejeo hariri
- ↑ Get to know ALARA Founder Reni Folawiyo in inspired video from CLAN's 'She' series (en-US) (2019-02-26).
- ↑ Sola Sobowale, Ibidunni Ighodalo, Nkechi Eze...Here are Nigeria's Most Inspiring Women in 2018 (en-US) (2018-03-08).
- ↑ RENI FOLAWIYO – THE ALÁRÁ OF NIGERIA’S FASHION INDUSTRY. (en-US) (2017-07-24).
- ↑ Searcey, Dionne. "A Rare Gem of a Restaurant in Lagos", The New York Times, 2017-10-21. (en-US)
- ↑ editor (2019-04-14). Sweethearts Forever: Tunde and Reni Folawiyo Celebrate 30th Wedding Anniversary (en-US).
- ↑ Conway, Megan. "Redefining African Luxury in Lagos, Nigeria", Wall Street Journal, 2014-05-29. (en-US)
- ↑ RENI FOLAWIYO – THE ALÁRÁ OF NIGERIA’S FASHION INDUSTRY. (en-US) (2017-07-24).
- ↑ editor (2019-04-14). Sweethearts Forever: Tunde and Reni Folawiyo Celebrate 30th Wedding Anniversary (en-US).
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Reni Folawiyo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |