Riziki (kutoka neno la Kiarabu) ni mahitaji muhimu ya maisha ambayo mtu anapata, kwa kawaida kama malipo ya kazi aliyofanya, lakini pia kwa njia nyingine.

Kwa mtazamo wa imani ya Kikristo na ya Kiislamu, ni baraka ambayo mtu anapewa na Mwenyezi Mungu ambaye anagawa anavyotaka neema zake kwa waja wake, na kwa sababu hiyo anaitwa Razaku.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Riziki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.