Rodopi

Safu ya milima

Rodopi ni milima ya Balkani (Ulaya), kati ya nchi za Ugiriki na Bulgaria.

image caption

Katika Golyam Perelik urefu wake ni mita 2,191 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rodopi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.