Romano wa Auxerre (alifariki Auxerre, leo nchini Ufaransa, 560 hivi) alikuwa askofu wa 16 wa mji huo kwa miaka mitatu hadi alipouawa[1][2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 6 Oktoba[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Duchesne, Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule, vol. II, pp. 440-441.
  2. Giovanni Battista de Rossi and Louis Duchesne, Martyrologium Hieronymianum, in Acta Sanctorum Novembris, II (1894), pp. [129].
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/73320
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.