Romano wa Blaye (alifariki katika ngome ya Blaye, karibu na Bordeaux, Akwitania, leo nchini Ufaransa, 380 hivi) alikuwa padri ambaye Gregori wa Tours aliandika juu yake kuwa alizikwa na askofu Martino wa Tours[1][2] [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Novemba[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "De gloria confessorum", c. xlv
  2.   "Sts. Romanus". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/78910
  4. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.